Tuesday, December 31, 2013

HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA TUME YA KATIBA WAKATI WA KUKABIDHI RIPOTI YA TUME KWA MHE.RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MHE.RAIS WA ZANZIBAR TAREHE 30 DISEMBA 2013


 Hotuba ya mwenyekiti wa tume ya mabidiliko ya tume ya katiba wakati wa kukabidhi ripoti ya tume kwa Mh. Raisi Jakaya Kikwete. Tarehe 30 Disemba 2013.

RASIMU YA PILI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013

Rasimu ya pili ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo itakabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, rasimu ya pili na ya mwisho ya katiba mpya, huku
Watanzania wengi wakisubiri kwa hamu kubwa kuona inapendekeza muundo gani wa Muungano baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukataa serikali tatu.
Kwa mujibu wa Katibu wa Tume hiyo, Assaa Rashidi, hafla ya kukabidhi rasimu ya pili itafanyika katika viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam.
Bonyeza hapa kuisoma rasimu ya pili.

Monday, December 30, 2013